CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025: End Term 1 Exam 2025 (Set 3)
Kiswahili — End Term 1 Exam 2025 (Set 3) · End Term 1 Exam 2025 (Set 3) · 20 questions
Topics: Kusoma, Sarufi, Msamiati.
All 20 questions with answers
- Question 1: Kadoti na familia yake walitembea wapi?Answer: Mbuga ya wanyama ya Nakuru
- Question 2: Mama Kadoti alimwonya dhidi ya kufanya nini?Answer: Kutupa taka nje ya gari
- Question 3: Mamake Kadoti alishtakiwa kwa kosa gani?Answer: Kumruhusu mtoto kutupa taka barabarani
- Question 4: Kadoti na familia yake walibeba nini?Answer: Chakula na matunda
- Question 5: Kisa hiki kinatufunza nini?Answer: Umuhimu wa kutunza mazingira (tusitupe taka ovyo)
- Question 6: Andika kinyume cha neno lililopigwa mstari (neno lililo katika mabano). Mtoto (alifunga) mlango.Answer: alifungua
- Question 7: Andika kinyume cha neno lililopigwa mstari (neno lililo katika mabano). Mzee (alipanda) mlima.Answer: alishuka
- Question 8: Andika kinyume cha neno lililopigwa mstari (neno lililo katika mabano). Mama (alianika) nguo.Answer: alianua
- Question 9: Andika kinyume cha neno lililopigwa mstari (neno lililo katika mabano). Mwashi (alijenga) nyumba.Answer: alibomoa
- Question 10: Kamilisha sentensi. Tunatumia ___ kulima.Answer: A. jembe
- Question 11: Kamilisha sentensi. ___ hutumiwa kukata muwa.Answer: B. panga
- Question 12: Tumia -ake. Kichwa ___Answer: chake
- Question 13: Tumia -ake. Kalamu ___Answer: yake
- Question 14: Andika kwa maneno. 56Answer: hamsini na sita
- Question 15: Andika kwa maneno. 71Answer: sabini na moja
- Question 16: Andika wingi wa sentensi hii. Kijiko kilioshwa na kaka.Answer: Vijiko vilioshwa na kaka.
- Question 17: Andika wingi wa sentensi hii. Chakula kilikuwa juu ya meza.Answer: Vyakula vilikuwa juu ya meza.
- Question 18: Tegua kitendawili. Akitolewa nje ya maji hufa.Answer: Samaki
- Question 19: Tegua kitendawili. Kila niendapo ananifuata.Answer: Kivuli
- Question 20: Mwaka huwa na miezi ___Answer: kumi na mbili