CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 9
Andika kinyume cha neno lililopigwa mstari (neno lililo katika mabano). Mwashi (alijenga) nyumba.
From Kiswahili — End Term 1 Exam 2025 (Set 3) · 1 mark · Topic: Sarufi, Vinyume
4. Andika kinyume cha neno lililopigwa mstari (neno lililo katika mabano).
Mwashi (alijenga) nyumba.
Answer
alibomoa
Kinyume cha kujenga ni kubomoa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.