CBC Grade 5 Kiswahili End Term 1 Exam 2025 · Question 8
Andika kinyume cha neno lililopigwa mstari (neno lililo katika mabano). Mama (alianika) nguo.
From Kiswahili — End Term 1 Exam 2025 (Set 3) · 1 mark · Topic: Sarufi, Vinyume
3. Andika kinyume cha neno lililopigwa mstari (neno lililo katika mabano).
Mama (alianika) nguo.
Answer
alianua
Kinyume cha kuanika ni kuanua.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Andika kinyume cha neno lililopigwa mstari (neno lililo katika mabano). Mwashi (alijenga) nyumba.Question 9
- Kamilisha sentensi. Tunatumia ___ kulima.Question 10
- Kamilisha sentensi. ___ hutumiwa kukata muwa.Question 11
- Tumia -ake. Kichwa ___Question 12
- Tumia -ake. Kalamu ___Question 13
- Andika kwa maneno. 56Question 14