CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025: Monitoring Learner's Progress 2025 (Set 11A)
Kiswahili — Monitoring Learner's Progress 2025 (Set 11A) · Monitoring Learner's Progress 2025 (Set 11A) · 36 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 36 questions with answers
- Question 1: Mzee Tamaa alisindikizwa na wazee wangapi?Answer: Wanne
- Question 2: Kwa nini msimulizi alikuwa na uoga?Answer: Aliogopa kuozwa kwa mzee Tamaa
- Question 3: Wasichana waliopangiwa kuozwa mapema waliokolewa na nani?Answer: Maafisa wa kulinda haki za watoto
- Question 4: Kutokana na aya ya pili, msichana aliupangiwa kuozwa kwa nani?Answer: Mzee Tamaa
- Question 5: Msimulizi hakutaka kuozwa mapema kwa nini?Answer: Alitaka kumaliza masomo yake
- Question 6: Msimulizi alishtuka wakati gani?Answer: Mlango ulipofunguliwa
- Question 7: Maana ya tashbihi, “nilitetemeka kama jani la mgomba wakati wa upepo mkali” niAnswer: Alikuwa na uoga mwingi
- Question 8: Ni akina nani waliomuokoa msimulizi?Answer: Chifu na polisi (askari)
- Question 9: Kichwa mwafaka cha ufahamu huu niAnswer: Ndoa ya Lazima
- Question 10: Hadithi hii inatufunza nini?Answer: Ndoa za mapema ni mbaya; watoto wana haki ya kusoma
- Question 11: a). Tunga sentensi ukitumia neno lifuatalo: BibiAnswer: Bibi ...
- Question 12: a). Tunga sentensi ukitumia neno lifuatalo: NduguAnswer: Ndugu ...
- Question 13: a). Tunga sentensi ukitumia neno lifuatalo: MjombaAnswer: Mjomba ...
- Question 14: a). Tunga sentensi ukitumia neno lifuatalo: Mama mkubwaAnswer: Mama mkubwa ...
- Question 15: a). Tunga sentensi ukitumia neno lifuatalo: ShangaziAnswer: Shangazi ...
- Question 16: a). Tunga sentensi ukitumia neno lifuatalo: MzeeAnswer: Mzee ...
- Question 17: b). Andika sentensi ifuatayo katika wingi: i) Ndizi italiwa na mtotoAnswer: Ndizi zitaliwa na watoto
- Question 18: b). Andika sentensi ifuatayo katika wingi: ii) Wembe ulianguka kwenye mtaroAnswer: Nyembe zilianguka kwenye mitaro
- Question 19: b). Andika sentensi ifuatayo katika wingi: iii) Upishi wake ulitufurahishaAnswer: Mapishi yao yalitufurahisha
- Question 20: b). Andika sentensi ifuatayo katika wingi: iv) Kuimba kwake kulinifurahishaAnswer: Kuimba kwao kulitufurahisha
- Question 21: c). Andika neno hili katika kauli ya kutendewa: i). PikaAnswer: Pikiwa
- Question 22: c). Andika neno hili katika kauli ya kutendewa: ii) ChoraAnswer: Chorewa
- Question 23: c). Andika neno hili katika kauli ya kutendewa: iii) AndikaAnswer: Andikiwa
- Question 24: d). Andika sentensi ifuatayo katika hali ya mazoea. Mfano: Nitasoma kitabu- Mimi husoma kitabu. i) Mama ataoga jioniAnswer: Mama huoga jioni
- Question 25: d). Andika sentensi ifuatayo katika hali ya mazoea. Mfano: Nitasoma kitabu- Mimi husoma kitabu. ii) Shangazi alilima shambaAnswer: Shangazi hulima shamba
- Question 26: d). Andika sentensi ifuatayo katika hali ya mazoea. Mfano: Nitasoma kitabu- Mimi husoma kitabu. iii) Mimi naandika vizuriAnswer: Mimi huandika vizuri
- Question 27: d). Andika sentensi ifuatayo katika hali ya mazoea. Mfano: Nitasoma kitabu- Mimi husoma kitabu. iv) Chifu aliwashauri wanakijijiAnswer: Chifu huwashauri wanakijiji
- Question 28: e). Kanusha sentensi ifuatayo: i) Nitaenda shuleni keshoAnswer: Sitaenda shuleni kesho
- Question 29: e). Kanusha sentensi ifuatayo: ii) Juma atapika chakulaAnswer: Juma hatapika chakula
- Question 30: e). Kanusha sentensi ifuatayo: iii) Utaenda sokoni kununua mbogaAnswer: Hutaenda sokoni kununua mboga
- Question 31: f). Andika jina lifuatalo katika hali ya ukubwa: i) MkebeAnswer: Kebe
- Question 32: f). Andika jina lifuatalo katika hali ya ukubwa: ii) MtotoAnswer: Toto
- Question 33: f). Andika jina lifuatalo katika hali ya ukubwa: iii) NdiziAnswer: Dizi
- Question 34: f). Andika jina lifuatalo katika hali ya ukubwa: (iv) NdovuAnswer: Dovu
- Question 35: g) Andika sentensi ifuatayo katika hali ya udogo: i) Ndama anakimbiaAnswer: Kidama kinakimbia
- Question 36: g) Andika sentensi ifuatayo katika hali ya udogo: ii) Njia hii ni ndefuAnswer: Kijia hiki ni kirefu