CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 36
g) Andika sentensi ifuatayo katika hali ya udogo: ii) Njia hii ni ndefu
From Kiswahili — Monitoring Learner's Progress 2025 (Set 11A) · 2 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Udogo
g) Andika sentensi ifuatayo katika hali ya udogo:
ii) Njia hii ni ndefu
Answer
Kijia hiki ni kirefu
Njia – kijia; hii – hiki; ndefu – kirefu.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Mzee Tamaa alisindikizwa na wazee wangapi?Question 1
- Kwa nini msimulizi alikuwa na uoga?Question 2
- Wasichana waliopangiwa kuozwa mapema waliokolewa na nani?Question 3
- Kutokana na aya ya pili, msichana aliupangiwa kuozwa kwa nani?Question 4
- Msimulizi hakutaka kuozwa mapema kwa nini?Question 5
- Msimulizi alishtuka wakati gani?Question 6