CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 27
d). Andika sentensi ifuatayo katika hali ya mazoea. Mfano: Nitasoma kitabu- Mimi husoma kitabu. iv) Chifu aliwashauri wanakijiji
From Kiswahili — Monitoring Learner's Progress 2025 (Set 11A) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Hali ya Mazoea
d). Andika sentensi ifuatayo katika hali ya mazoea.
Mfano: Nitasoma kitabu- Mimi husoma kitabu.
iv) Chifu aliwashauri wanakijiji
Answer
Chifu huwashauri wanakijiji
hu- ni ya mazoea.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- e). Kanusha sentensi ifuatayo: i) Nitaenda shuleni keshoQuestion 28
- e). Kanusha sentensi ifuatayo: ii) Juma atapika chakulaQuestion 29
- e). Kanusha sentensi ifuatayo: iii) Utaenda sokoni kununua mbogaQuestion 30
- f). Andika jina lifuatalo katika hali ya ukubwa: i) MkebeQuestion 31
- f). Andika jina lifuatalo katika hali ya ukubwa: ii) MtotoQuestion 32
- f). Andika jina lifuatalo katika hali ya ukubwa: iii) NdiziQuestion 33