CBC Grade 3 Kiswahili Mid Term 3 Exam 2025
Kiswahili — Midterm Assessment 2025 (Set 14) · Midterm Assessment 2025 (Set 14) · 32 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 32 questions with answers
- Question 1: SEHEMU YA 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA Zoezi A 1. Matawi yana rangi gani?Answer: Matawi yana rangi ya kijani.
- Question 2: Je, ni vitu gani hupatikana katika mazingira?Answer: Miti, maji, wanyama na mawe.
- Question 3: Kalamu yako ni ya rangi gani?Answer: Kalamu yangu ni ya rangi ya bluu.
- Question 4: Ni ndege yupi umependaye?Answer: Ninampenda kuku.
- Question 5: Taja ndege wawili unaowajua.Answer: Kuku na njiwa.
- Question 6: Zoezi B: KUSOMA KWA SAUTI 1. Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.Answer: Kuna aina nyingi za kazi. Walimu hufundisha watoto shuleni. Daktari hutibu magonjwa na kutoa ushauri wa…
- Question 7: Soma sentensi hizi kwa sauti.Answer: Jua huchomoza kila asubuhi. Tafadhali nisaidie kuandaa chakula. Leo nitaenda sokoni kununua matunda.…
- Question 8: SEHEMU YA 2: UFAHAMU (a) Hadithi hii inazungumza kuhusu nini?Answer: usalama
- Question 9: (b) Ni vitu vipi tunavyopaswa kuwa makini navyo?Answer: moto na nyoka
- Question 10: (c) Kwa nini tunapaswa kujua jinsi ya kutumia vifaa salama?Answer: ili kuepuka hatari
- Question 11: (d) Tunalinda mali yetu kwa kufanya nini?Answer: kufunga milango vizuri
- Question 12: SEHEMU YA 3: SARUFI 1. Tumia 'yule' au 'wale'. (a) ___ anacheza uwanjani.Answer: A. Yule
- Question 13: (b) ___ wanaimba kwa sauti.Answer: B. Wale
- Question 14: (c) ___ anasoma gazeti.Answer: A. Yule
- Question 15: (d) ___ wanalala kitandani.Answer: B. Wale
- Question 16: (e) ___ anaitwa Kamau.Answer: A. Yule
- Question 17: Tumia '-ake' kujaza pengo. (a) Dada ___ anaimba wimbo.Answer: yake
- Question 18: (b) Wazazi ___ wamesafiri asubuhi.Answer: wake
- Question 19: (c) Mama ___ analala kitandani.Answer: yake
- Question 20: (d) Nyumba ___ imepakwa rangi nzuri.Answer: yake
- Question 21: (e) Gari ___ limeegeshwa uwanjani.Answer: lake
- Question 22: Tumia 'hili' au 'haya' kujaza pengo. (a) Maji ___ ni safi.Answer: B. haya
- Question 23: (b) Gari ___ ni jipya.Answer: A. hili
- Question 24: (c) Majani ___ yamekauka.Answer: B. haya
- Question 25: (d) Tawi ___ lilianguka kutoka mtini.Answer: A. hili
- Question 26: (e) Mafuta ___ ni mengi.Answer: B. haya
- Question 27: Andika kinyume. (a) FungaAnswer: fungua
- Question 28: (b) JuuAnswer: chini
- Question 29: (c) HarakaAnswer: polepole
- Question 30: (d) KubwaAnswer: ndogo
- Question 31: (e) SafiAnswer: chafu
- Question 32: SEHEMU YA 4: KUANDIKA Andika sentensi tano kuhusu 'WANYAMA WA NYUMBANI'.Answer: Ng'ombe ni mnyama wa nyumbani. Ng'ombe hutupa maziwa. Mbwa hulinda nyumba yetu. Paka hukamata panya. Mbuzi…