CBC Grade 3 Kiswahili Mid Term 3 Exam 2025 · Question 2
Je, ni vitu gani hupatikana katika mazingira?
From Kiswahili — Midterm Assessment 2025 (Set 14) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Kuzungumza
Mwalimu atakuita na kukuuliza maswali haya. Sikiliza swali, kisha bonyeza kurekodi na ujibu kwa sauti.
2. Je, ni vitu gani hupatikana katika mazingira?
🎧 A listening question: open it on naQonda to hear the audio.
Answer
Miti, maji, wanyama na mawe.
Jibu: Miti, maji, wanyama na mawe.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.