CBC Grade 3 Kiswahili Mid Term 3 Exam 2025 · Question 8
SEHEMU YA 2: UFAHAMU (a) Hadithi hii inazungumza kuhusu nini?
From Kiswahili — Midterm Assessment 2025 (Set 14) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.
Usalama ni jambo la muhimu sana. Tunapaswa kuwa makini na vitu hatari kama moto na nyoka katika shule na nyumbani. Tunahitaji kujua jinsi ya kutumia vifaa salama na kuepuka hatari. Tunalinda mali yetu kwa kufunga milango vizuri. Kwa pamoja tunasaidia kuhakikisha kwamba kila mmoja anakuwa salama na kuwa na mazingira salama ya kuishi.
SEHEMU YA 2: UFAHAMU
(a) Hadithi hii inazungumza kuhusu nini?
Answer
usalama
Kifungu kinaanza: "Usalama ni jambo la muhimu sana."
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- (b) Ni vitu vipi tunavyopaswa kuwa makini navyo?Question 9
- (c) Kwa nini tunapaswa kujua jinsi ya kutumia vifaa salama?Question 10
- (d) Tunalinda mali yetu kwa kufanya nini?Question 11
- SEHEMU YA 3: SARUFI 1. Tumia 'yule' au 'wale'. (a) ___ anacheza uwanjani.Question 12
- (b) ___ wanaimba kwa sauti.Question 13
- (c) ___ anasoma gazeti.Question 14