CBC Grade 3 Kiswahili Mid Term 3 Exam 2025 · Question 32
SEHEMU YA 4: KUANDIKA Andika sentensi tano kuhusu 'WANYAMA WA NYUMBANI'.
From Kiswahili — Midterm Assessment 2025 (Set 14) · 5 marks · Topic: Kuandika, Kuandika Sentensi
SEHEMU YA 4: KUANDIKA
Andika sentensi tano kuhusu 'WANYAMA WA NYUMBANI'.
Answer
Ng'ombe ni mnyama wa nyumbani. Ng'ombe hutupa maziwa. Mbwa hulinda nyumba yetu. Paka hukamata panya. Mbuzi hula majani.
Andika sentensi tano kamili kuhusu wanyama wanaofugwa nyumbani, k.m. ng'ombe, mbuzi, mbwa na paka.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 3 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU YA 1: KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA Zoezi A 1. Matawi yana rangi gani?Question 1
- Je, ni vitu gani hupatikana katika mazingira?Question 2
- Kalamu yako ni ya rangi gani?Question 3
- Ni ndege yupi umependaye?Question 4
- Taja ndege wawili unaowajua.Question 5
- Zoezi B: KUSOMA KWA SAUTI 1. Soma kifungu kifuatacho kwa sauti.Question 6