CBC Grade 1 Kiswahili Mid Term 2 Exam: Term 2 Midterm Assessment
Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment · Term 2 Midterm Assessment · 32 questions
Topics: Darasani, Tarakimu, Mwili Wangu, Siku za Wiki, Mimi na Wenzangu.
All 32 questions with answers
- Question 1: Mwalimu anakusalimia na kukuomba ukae. Mjibu kwa heshima.Answer: asante
- Question 2: Sema jina lako na umri wako kwa Kiswahili.Answer: naitwa na nina miaka
- Question 3: Rafiki yako akianguka mkicheza, utamwambia nini?Answer: pole
- Question 4: Tenganisha jina hili kwa silabi: Chandana.Answer: cha nda na
- Question 5: Taja neno moja la heshima.Answer: samahani
- Question 6: Soma maneno na sentensi hizi kwa sauti. Rekodi sauti yako ukimaliza.Answer: The words to read: Daftari. Mswaki. Samahani. Kengele. Mpishi. Zawadi na Juma ni marafiki. Wazazi wetu ni…
- Question 7: Jibu: Hujambo?Answer: sijambo
- Question 8: Jibu: Shikamoo?Answer: marahaba
- Question 9: Jaza pengo: J _ l _ l _Answer: jalali
- Question 10: Jaza pengo: Mw _ n _ f _ nziAnswer: mwanafunzi
- Question 11: Jaza pengo: S _ b _ niAnswer: sabuni
- Question 12: Jaza: ___ vikombe ni vizuri. (hiki / hivi)Answer: hivi
- Question 13: Jaza: Kiti ___ kimevunjika. (hiki / hivi)Answer: hiki
- Question 14: Jaza: Vikapu ___ ni vya nyanya yangu. (hiki / hivi)Answer: hivi
- Question 15: Tazama picha. Kifaa gani cha usafi hutumika kukausha mwili?Answer: taulo
- Question 16: Tazama picha. Kifaa gani cha usafi hutumika kuoga au kunawa?Answer: sabuni
- Question 17: Tazama picha. Kifaa gani cha usafi hutumika kupiga mswaki?Answer: mswaki
- Question 18: Andika kwa wingi: Hiki ni kikombe.Answer: hivi ni vikombe
- Question 19: Andika kwa wingi: Huyu ni mtoto.Answer: hawa ni watoto
- Question 20: Unda neno kwa silabi: daAnswer: dada
- Question 21: Unda neno kwa silabi: nyAnswer: nyumba
- Question 22: Tazama picha. Andika kwa wingi: Jicho.Answer: macho
- Question 23: Tazama picha. Andika kwa wingi: Mguu.Answer: miguu
- Question 24: Jaza pengo: Mzazi wa kike ni ___.Answer: mama
- Question 25: Jaza pengo: Nina mikono ___.Answer: miwili
- Question 26: Jaza pengo: Kofia huvaliwa ___.Answer: kichwani
- Question 27: Mbwa aliiba nyama wapi?Answer: kwa jirani
- Question 28: Kwa nini mbwa alichoka sana?Answer: alikimbia sana
- Question 29: Jaza: Mbwa alipita ___ ya nyumba akikimbia.Answer: katikati
- Question 30: Kwa nini mbwa alitamani maji?Answer: alikuwa na kiu
- Question 31: Mbwa alipanda juu ya nini?Answer: daraja
- Question 32: Andika sentensi tano kuhusu DARASA LETU.Answer: Mwanafunzi aandike sentensi tano rahisi, sahihi na zinazohusu darasa lake.