CBC Grade 1 Kiswahili Mid Term 2 Exam · Question 28
Kwa nini mbwa alichoka sana?
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment · 3 marks · Topic: Mimi na Wenzangu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Hadithi ya Mbwa na Nyama
Mbwa aliiba nyama ya jirani. Akakimbia sana ili aende kujificha na kula nyama hiyo. Alipita katikati ya nyumba akikimbia. Alichoka sana na alikuwa na kiu. Alitamani kunywa maji. Alipofika mtoni, alipanda juu ya daraja. Alisimama hapo akitazama maji.
Mbwa aliiba nyama ya jirani. Akakimbia sana ili aende kujificha na kula nyama hiyo. Alipita katikati ya nyumba akikimbia. Alichoka sana na alikuwa na kiu. Alitamani kunywa maji. Alipofika mtoni, alipanda juu ya daraja. Alisimama hapo akitazama maji.
Kwa nini mbwa alichoka sana?
Answer
alikimbia sana
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- Jaza: Mbwa alipita ___ ya nyumba akikimbia.Question 29
- Kwa nini mbwa alitamani maji?Question 30
- Mbwa alipanda juu ya nini?Question 31
- Andika sentensi tano kuhusu DARASA LETU.Question 32
- Mwalimu anakusalimia na kukuomba ukae. Mjibu kwa heshima.Question 1
- Sema jina lako na umri wako kwa Kiswahili.Question 2