CBC Grade 1 Kiswahili Mid Term 2 Exam · Question 31
Mbwa alipanda juu ya nini?
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment · 3 marks · Topic: Mimi na Wenzangu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Hadithi ya Mbwa na Nyama
Mbwa aliiba nyama ya jirani. Akakimbia sana ili aende kujificha na kula nyama hiyo. Alipita katikati ya nyumba akikimbia. Alichoka sana na alikuwa na kiu. Alitamani kunywa maji. Alipofika mtoni, alipanda juu ya daraja. Alisimama hapo akitazama maji.

Answer
daraja
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- Andika sentensi tano kuhusu DARASA LETU.Question 32
- Mwalimu anakusalimia na kukuomba ukae. Mjibu kwa heshima.Question 1
- Sema jina lako na umri wako kwa Kiswahili.Question 2
- Rafiki yako akianguka mkicheza, utamwambia nini?Question 3
- Tenganisha jina hili kwa silabi: Chandana.Question 4
- Taja neno moja la heshima.Question 5