CBC Grade 1 Kiswahili Mid Term 2 Exam · Question 6
Soma maneno na sentensi hizi kwa sauti. Rekodi sauti yako ukimaliza.
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment · 10 marks · Topic: Mwili Wangu, Kusoma kwa Ufasaha Sauti (/s/, /b/, /y/, /z/, /g/, /d/)
Daftari Mswaki Samahani Kengele Mpishi
Zawadi na Juma ni marafiki.
Wazazi wetu ni wazuri sana.
Mimi ninapenda vyakula mbalimbali.
Darasa letu ni kubwa sana na maridadi.
Jana tulienda sokoni.
Soma maneno na sentensi hizi kwa sauti. Rekodi sauti yako ukimaliza.
Answer
The words to read: Daftari. Mswaki. Samahani. Kengele. Mpishi. Zawadi na Juma ni marafiki. Wazazi wetu ni wazuri sana. Mimi ninapenda vyakula mbalimbali. Darasa letu ni kubwa sana na maridadi. Jana tulienda sokoni.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.