CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 1
ZOEZI I: INSHA (Alama 15) Swali la 1: Visa vya magonjwa yasiyoambukizwa vimekithiri katika mtaa wenu. Umealikwa kuhutubia raia wa mtaa huo kuhusiana na…
From Test 85 — Kiswahili Paper 2 (KJSEA) · 15 marks · Topic: Kuandika, Insha za Kiuamilifu
ZOEZI I: INSHA (Alama 15)
Swali la 1: Visa vya magonjwa yasiyoambukizwa vimekithiri katika mtaa wenu. Umealikwa kuhutubia raia wa mtaa huo kuhusiana na magonjwa hayo. Andika hotuba ya kutoa ufafanuzi kuhusu chanzo, athari na hatua za kujikinga na magonjwa hayo.
Maagizo: Inapendekezwa uchukue muda wa dakika 40 katika zoezi hili. Andika insha yenye maneno kati ya 300–350 katika nafasi uliyopewa.
Answer
MADA: MAGONJWA YASIYOAMBUKIZWA – CHANZO, ATHARI NA HATUA ZA KUJIKINGA “Mgeni rasmi, chifu wetu, viongozi mbalimbali, wazee, kina mama, vijana na wananchi wote, habari za asubuhi? Kwanza, ninamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema na kutuwezesha kukutana hapa leo. Pia ninawashukuru waandalizi kwa kunipa nafasi ya kuwahutubia kuhusu suala muhimu la magonjwa yasiyoambukizwa ambayo yameongezeka katika mtaa wetu. Waheshimiwa wananchi, magonjwa yasiyoambukizwa ni magonjwa ambayo hayaenezwi kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine. Mifano yake ni kisukari, shinikizo la damu, saratani, magonjwa…
Hii ni hotuba ya mfano yenye alama kamili, iliyotolewa na chanzo asili chenyewe. Tazama vigezo vya muundo na maudhui hapo juu kwa maelezo ya jinsi alama zinavyotolewa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- a) Taja wahusika wakuu wanne katika hadithi hii, mbali na Mzee Kobe. (alama 2)Question 2
- b) Fafanua maudhui matatu yanayojitokeza katika hadithi hii. (alama 3)Question 3
- c) Taja methali mbili zilizotumiwa katika hadithi hii. (alama 2)Question 4
- d) Andika mafunzo matatu tunayoyapata kutokana na hadithi hii. (alama 3)Question 5
- a) Kazi za fasihi huwa na malengo maalum. Eleza dhamira kuu ya mwandishi katika sehemu hii ya novela. (alama 2)Question 6
- b) Eleza sifa mbili za mhusika (mnyaji) kwa mujibu wa dondoo hili la novela. (alama 2)Question 7