CBC Grade 8 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 26
Chagua sentensi sahihi kisarufi:
From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025, Code 011 (Set 16) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Sentensi Sahihi Kisarufi
26. Chagua sentensi sahihi kisarufi:
- AYule wanafunzi walicheza
- BWale mwanafunzi walicheza
- CWale wanafunzi walicheza
- DYule mwanafunzi walicheza
Answer
C. Wale wanafunzi walicheza
Wanafunzi ni wingi, kwa hiyo huchukua "wale" na kitenzi "walicheza". Kwa umoja ingekuwa "Yule mwanafunzi alicheza".