CBC Grade 8 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 30
Chagua sentensi katika kauli ya kutendwa:
From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025, Code 011 (Set 16) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kauli za Vitenzi
30. Chagua sentensi katika kauli ya kutendwa:
- AAlipika wali.
- BWali ulipikwa.
- CWapike wali.
- DAnapika wali.
Answer
B. Wali ulipikwa.
Katika kauli ya kutendwa kitendo kinamfikia mtendwa: wali ndio uliopikwa (pika → pikwa).