CBC Grade 8 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 28
Wingi wa neno tunda ni:
From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025, Code 011 (Set 16) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
28. Wingi wa neno tunda ni:
- Amitunda
- Bmatunda
- Ctunda
- Dtundwa
Answer
B. matunda
Tunda liko katika ngeli ya LI-YA, kwa hiyo wingi wake ni matunda.