naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 20

Chagua jibu linaloonyesha klabu ambazo wanafunzi hushiriki siku ya Jumatano pekee.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 18 hadi la 20.
Wanafunzi wa shule ya msingi ya Bidii huwa na ratiba ya kujiunga na klabu mbalimbali za kimasomo na talanta kila juma kama inavyoonyeshwa kwenye jedwali hili (✓ = klabu hukutana siku hiyo):
Mazingira: Jumatatu, Alhamisi
Muziki: Jumanne, Ijumaa
Mdahalo: Jumatano
Sarakasi: Alhamisi, Ijumaa
Kushona: Jumatatu, Ijumaa
Teknolojia: Jumanne, Alhamisi
Uchoraji: Jumatano, Ijumaa

20. Chagua jibu linaloonyesha klabu ambazo wanafunzi hushiriki siku ya Jumatano pekee.

  1. AUchoraji
  2. BMdahalo
  3. CSarakasi
  4. DKushona

Answer

B. Mdahalo

Mdahalo hukutana Jumatano tu.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test