naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 29

Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 29 katika kifungu.

From Test 1 — Opener Exam Term 3 (702/1: Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Kuandika, Alama za Uakifishaji

Kifungu cha Sita: Ujazaji wa Nafasi — Mazingira
Mazingira yetu ni muhimu sana. 26__________tunaishi katika mazingira safi na yenye afya, basi tutakuwa na afya njema. Ni muhimu sana 27__________ kudumisha usafi wa mazingira yetu 28__________ nyumbani na shuleni. Je, 29______________ tunapaswa kufanya nini ili tuyahifadhi mazingira yetu? Inatubidi 30_________ taka vizuri. Kwa njia hii, tutazuia magonjwa kama vile kipindupindu. Jambo lingine ni kupanda miti mingi. Tukipanda miti, tutapata hewa safi na kuzuia mmomonyoko wa udongo. 31______ tufanye usafi wa mara kwa mara katika vitongoji vyetu. Ni 32__________ kushiriki katika kampeni za usafi 33_________. 34_______ tunapaswa kushirikiana kudumisha usafi kwani 35____________.

Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 29 katika kifungu.

  1. A,
  2. B/
  3. C:
  4. D!

Answer

A. ,

Jibu sahihi: ,.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test