CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 3 · Question 28
Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 28 katika kifungu.
From Test 1 — Opener Exam Term 3 (702/1: Kiswahili Lugha) · 1 mark · Topic: Kuandika, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Kifungu cha Sita: Ujazaji wa Nafasi — Mazingira
Mazingira yetu ni muhimu sana. 26__________tunaishi katika mazingira safi na yenye afya, basi tutakuwa na afya njema. Ni muhimu sana 27__________ kudumisha usafi wa mazingira yetu 28__________ nyumbani na shuleni. Je, 29______________ tunapaswa kufanya nini ili tuyahifadhi mazingira yetu? Inatubidi 30_________ taka vizuri. Kwa njia hii, tutazuia magonjwa kama vile kipindupindu. Jambo lingine ni kupanda miti mingi. Tukipanda miti, tutapata hewa safi na kuzuia mmomonyoko wa udongo. 31______ tufanye usafi wa mara kwa mara katika vitongoji vyetu. Ni 32__________ kushiriki katika kampeni za usafi 33_________. 34_______ tunapaswa kushirikiana kudumisha usafi kwani 35____________.

- Atumekuwa
- Btungekuwa
- Ctunapokuwa
- Dtulipokuwa
Answer
C. tunapokuwa
Jibu sahihi: tunapokuwa.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 29 katika kifungu.Question 29
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 30 katika kifungu.Question 30
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 31 katika kifungu.Question 31
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 32 katika kifungu.Question 32
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 33 katika kifungu.Question 33
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza nafasi ya 34 katika kifungu.Question 34