CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 20
Tafsiri sentensi hii kwa Kiswahili: "The sun is shining brightly."
From Kiswahili — Formative Assessment 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Tafsiri
20. Tafsiri sentensi hii kwa Kiswahili: "The sun is shining brightly."
- AJua linang'aa sana
- BKuna mawingu angani
- CJua linawaka moto
- DMvua inanyesha sana
Answer
A. Jua linang'aa sana
Shining = kung'aa.