CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 24
Juma alijisikiaje baada ya kusaidia?
From Kiswahili — Formative Assessment 2025 (Set 7) · 2 marks · Topic: Kusoma, Ufahamu
SEHEMU D: KUFAHAMU (Alama 10)
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali
Juma ni mvulana mchangamfu na mkarimu. Siku moja aliamua kusaidia bibi mmoja aliyekuwa akivuka barabara. Baada ya kumsaidia, bibi huyo alimshukuru na kumwambia kuwa tabia nzuri huleta baraka. Juma alifurahi sana na akaahidi kuendelea kusaidia watu wenye uhitaji.
4. Juma alijisikiaje baada ya kusaidia?
Answer
Alifurahi sana, akaahidi kuendelea kusaidia watu.
Sentensi ya mwisho.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Wewe unajifunza nini kutokana na hadithi hii?Question 25
- a) Nina kalamu ___ (moja/mbili)Question 34
- b) Baba alinunua gari ___ (zuri/zuri sana)Question 35
- c) Wanafunzi walifika shuleni ___ (mapema/mbali)Question 36
- d) Nyanya yangu ni mwanamke ___ (mrefu/mfupi)Question 37
- a) Mama anapika chakula.Question 38