CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 19
Ni nani kati ya hawa anayefanya kazi hospitalini?
From Kiswahili — Formative Assessment 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
19. Ni nani kati ya hawa anayefanya kazi hospitalini?
- AMvuvi
- BFundi seremala
- CMuuguzi
- DDereva
Answer
C. Muuguzi
Huwahudumia wagonjwa.