CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 15
Gawanya sentensi hii kwa vishazi: "Juma alisoma kitabu na akaandika insha."
From Kiswahili — Formative Assessment 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vishazi
15. Gawanya sentensi hii kwa vishazi:
"Juma alisoma kitabu na akaandika insha."
- AJuma alisoma kitabu / na akaandika insha
- BJuma alisoma / kitabu na akaandika insha
- CJuma alisoma kitabu na / akaandika insha
- DJuma alisoma kitabu na akaandika / insha
Answer
A. Juma alisoma kitabu / na akaandika insha
Kila kishazi kina kitenzi chake.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU C: MATUMIZI YA LUGHA 16. Mtu anayehubiri kanisani anaitwa:Question 16
- Katika "Watoto wanakula kwa haraka," neno "haraka" ni:Question 17
- Ni methali ipi inahimiza mshikamano?Question 18
- Ni nani kati ya hawa anayefanya kazi hospitalini?Question 19
- Tafsiri sentensi hii kwa Kiswahili: "The sun is shining brightly."Question 20
- Juma alikuwa mvulana wa namna gani?Question 21