CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 5
Somo kuu la kifungu hiki ni:
From Kiswahili — Formative Assessment 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
SEHEMU A: KUFAHAMU
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.
Mama Juma aliamka asubuhi na mapema ili kuandaa kifungua kinywa cha familia yake. Alipomaliza, alimwamsha Juma ili aende shule. Juma alikula haraka, akachukua begi lake na kuelekea shuleni. Njiani, alisaidia bibi mmoja aliyekuwa akihitaji msaada wa kuvuka barabara.
5. Somo kuu la kifungu hiki ni:
- AUmuhimu wa kula chakula
- BKusaidia wengine ni tendo jema
- CSafari ya Juma kwenda shuleni
- DKazi za mama Juma
Answer
B. Kusaidia wengine ni tendo jema
Juma alimsaidia bibi.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- SEHEMU B: SARUFI 6. Neno "nyumba" liko katika ngeli gani?Question 6
- Ni sentensi ipi iliyo katika wakati uliopita?Question 7
- Wingi wa neno "jicho" ni:Question 8
- Kinyume cha neno "chafu" ni:Question 9
- Ni sentensi ipi iliyo sahihi kisarufi?Question 10
- Katika "Mwalimu wetu ni mzuri," neno "mzuri" ni:Question 11