CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 7
Ni sentensi ipi iliyo katika wakati uliopita?
From Kiswahili — Formative Assessment 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nyakati
7. Ni sentensi ipi iliyo katika wakati uliopita?
- AJuma anasoma kitabu
- BWanafunzi walicheza mpira
- CMama atapika chakula
- DMwalimu anafundisha darasani
Answer
B. Wanafunzi walicheza mpira
-li- ni wakati uliopita.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Wingi wa neno "jicho" ni:Question 8
- Kinyume cha neno "chafu" ni:Question 9
- Ni sentensi ipi iliyo sahihi kisarufi?Question 10
- Katika "Mwalimu wetu ni mzuri," neno "mzuri" ni:Question 11
- Chagua sentensi iliyo katika wakati ujao:Question 12
- Kitenzi katika sentensi "Watoto wanakimbia uwanjani" ni:Question 13