CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 12
Chagua sentensi iliyo katika wakati ujao:
From Kiswahili — Formative Assessment 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nyakati
12. Chagua sentensi iliyo katika wakati ujao:
- AMwalimu alifundisha wanafunzi
- BTutafanya mtihani kesho
- CMama anapika sasa
- DWanafunzi walienda shuleni
Answer
B. Tutafanya mtihani kesho
-ta- ni wakati ujao.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Kitenzi katika sentensi "Watoto wanakimbia uwanjani" ni:Question 13
- Jaza nafasi: "Mimi ___ kwenda sokoni."Question 14
- Gawanya sentensi hii kwa vishazi: "Juma alisoma kitabu na akaandika insha."Question 15
- SEHEMU C: MATUMIZI YA LUGHA 16. Mtu anayehubiri kanisani anaitwa:Question 16
- Katika "Watoto wanakula kwa haraka," neno "haraka" ni:Question 17
- Ni methali ipi inahimiza mshikamano?Question 18