CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 4
Kifungua kinywa ni chakula cha muda gani?
From Kiswahili — Formative Assessment 2025 (Set 7) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu
SEHEMU A: KUFAHAMU
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.
Mama Juma aliamka asubuhi na mapema ili kuandaa kifungua kinywa cha familia yake. Alipomaliza, alimwamsha Juma ili aende shule. Juma alikula haraka, akachukua begi lake na kuelekea shuleni. Njiani, alisaidia bibi mmoja aliyekuwa akihitaji msaada wa kuvuka barabara.
4. Kifungua kinywa ni chakula cha muda gani?
- AAsubuhi
- BMchana
- CJioni
- DUsiku
Answer
A. Asubuhi
Chakula cha kwanza cha siku.