naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 37

Eleza sifa za Tumaini zinazodhihirika katika kifungu hiki.

From Kiswahili — First Term Assessment 2025 (Set 5) · 2 marks · Topic: Fasihi, Novela

SEHEMU F: NOVELA (Mshale Wa Matumaini) (ALAMA 10)
"Hata katika hali ngumu, Tumaini hakukata tamaa. Alijua kwamba siku moja bidii yake ingezaa matunda. Aliendelea kusoma kwa juhudi, akiwahimiza wenzake wasikate tamaa, kwani kila mshale uliofyatuliwa kwa matumaini hauwezi kukosa shabaha."

38. Eleza sifa za Tumaini zinazodhihirika katika kifungu hiki.

Answer

Ni mvumilivu, mwenye bidii, mwenye matumaini na mhamasishaji wa wenzake.

Anafanya nini?

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test