naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 40

Eleza umuhimu wa bidii na matumaini maishani ukitumia mifano kutoka riwaya.

From Kiswahili — First Term Assessment 2025 (Set 5) · 2 marks · Topic: Fasihi, Novela

SEHEMU F: NOVELA (Mshale Wa Matumaini) (ALAMA 10)
"Hata katika hali ngumu, Tumaini hakukata tamaa. Alijua kwamba siku moja bidii yake ingezaa matunda. Aliendelea kusoma kwa juhudi, akiwahimiza wenzake wasikate tamaa, kwani kila mshale uliofyatuliwa kwa matumaini hauwezi kukosa shabaha."

41. Eleza umuhimu wa bidii na matumaini maishani ukitumia mifano kutoka riwaya.

Answer

Humwezesha mtu kushinda changamoto na kufanikiwa, kama Tumaini aliyeendelea kusoma kwa juhudi katika hali ngumu.

Mfano wa Tumaini.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test