CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 39
Toa maana ya methali: Kila mshale uliofyatuliwa kwa matumaini hauwezi kukosa shabaha.
From Kiswahili — First Term Assessment 2025 (Set 5) · 2 marks · Topic: Fasihi, Methali
SEHEMU F: NOVELA (Mshale Wa Matumaini) (ALAMA 10)
"Hata katika hali ngumu, Tumaini hakukata tamaa. Alijua kwamba siku moja bidii yake ingezaa matunda. Aliendelea kusoma kwa juhudi, akiwahimiza wenzake wasikate tamaa, kwani kila mshale uliofyatuliwa kwa matumaini hauwezi kukosa shabaha."
40. Toa maana ya methali: Kila mshale uliofyatuliwa kwa matumaini hauwezi kukosa shabaha.
Answer
Kila juhudi inayofanywa kwa imani na matumaini huzaa matunda mwishowe.
Mshale ni juhudi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Eleza umuhimu wa bidii na matumaini maishani ukitumia mifano kutoka riwaya.Question 40
- Nomino ya pekee kati ya zifuatazo ni ipi?Question 1
- Nomino ya kawaida ni ipi kati ya hizi?Question 2
- Ni sentensi ipi inayoonyesha matumizi sahihi ya sauti 'dh'?Question 3
- Tafsiri maana ya 'vitenzi jina'.Question 4
- Nomino za dhahania ni zipi kati ya zifuatazo?Question 5