CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 33
SEHEMU E: FASIHI. (ALAMA 10) 34. Taja tanzu nne za fasihi. (al. 4)
From Kiswahili — First Term Assessment 2025 (Set 5) · 4 marks · Topic: Fasihi, Tanzu za Fasihi
SEHEMU E: FASIHI. (ALAMA 10)
34. Taja tanzu nne za fasihi. (al. 4)
Answer
Hadithi (riwaya na novela), ushairi, tamthilia na semi.
Utanzu wa fasihi.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Eleza maana ya vitenzi vishirikishi na toa mifano mitatu. (al. 3)Question 34
- Taja aina tatu za viwakilishi na toa mifano. (al. 3)Question 35
- Kutokana na kifungu hiki, eleza maana ya jina Mshale wa Matumaini.Question 36
- Eleza sifa za Tumaini zinazodhihirika katika kifungu hiki.Question 37
- Ni mafunzo yapi unayopata kutoka kwa Tumaini katika kifungu hiki?Question 38
- Toa maana ya methali: Kila mshale uliofyatuliwa kwa matumaini hauwezi kukosa shabaha.Question 39