CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 17
Ni ipi kati ya hizi ni aina ya viwakilishi?
From Kiswahili — First Term Assessment 2025 (Set 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viwakilishi
17. Ni ipi kati ya hizi ni aina ya viwakilishi?
- AKiashiria
- BKitenzi
- CKielezi
- DKitenzi jina
Answer
A. Kiashiria
Huyu, yule, hiki.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Katika sentensi "Nani aliandika barua?" neno "Nani" ni aina gani ya kiwakilishi?Question 18
- Chagua sentensi yenye nomino ya wingi.Question 19
- Ni ipi kati ya hizi si aina ya nomino?Question 20
- Kulingana na kifungu, siku ya mwanafunzi huanza vipi anapofika shuleni?Question 21
- Taja masomo manne ambayo wanafunzi hufundishwa shuleni kulingana na kifungu.Question 22
- Mbali na masomo darasani, ni shughuli gani nyingine ambazo wanafunzi hushiriki shuleni?Question 23