CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 19
Chagua sentensi yenye nomino ya wingi.
From Kiswahili — First Term Assessment 2025 (Set 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
19. Chagua sentensi yenye nomino ya wingi.
- AKitabu kipo mezani.
- BWanafunzi wanacheza uwanjani.
- CMwalimu ana kalamu.
- DNdege anapaa angani.
Answer
B. Wanafunzi wanacheza uwanjani.
Wanafunzi ni wengi.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Ni ipi kati ya hizi si aina ya nomino?Question 20
- Kulingana na kifungu, siku ya mwanafunzi huanza vipi anapofika shuleni?Question 21
- Taja masomo manne ambayo wanafunzi hufundishwa shuleni kulingana na kifungu.Question 22
- Mbali na masomo darasani, ni shughuli gani nyingine ambazo wanafunzi hushiriki shuleni?Question 23
- Eleza umuhimu wa vilabu vya shule kama ulivyoelezwa kwenye kifungu.Question 24
- Ni maadili yapi matatu ambayo wanafunzi wanahimizwa kuwa nayo shuleni?Question 25