CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 20
Ni ipi kati ya hizi si aina ya nomino?
From Kiswahili — First Term Assessment 2025 (Set 5) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nomino
20. Ni ipi kati ya hizi si aina ya nomino?
- ANomino ya dhahania
- BNomino ya wingi
- CNomino ya pekee
- DNomino ya kawaida
Answer
B. Nomino ya wingi
Wingi ni idadi, si aina.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Kulingana na kifungu, siku ya mwanafunzi huanza vipi anapofika shuleni?Question 21
- Taja masomo manne ambayo wanafunzi hufundishwa shuleni kulingana na kifungu.Question 22
- Mbali na masomo darasani, ni shughuli gani nyingine ambazo wanafunzi hushiriki shuleni?Question 23
- Eleza umuhimu wa vilabu vya shule kama ulivyoelezwa kwenye kifungu.Question 24
- Ni maadili yapi matatu ambayo wanafunzi wanahimizwa kuwa nayo shuleni?Question 25
- Taja changamoto tatu ambazo wanafunzi hukumbana nazo shuleni.Question 26