naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 43

Chagua neno lenye viambishi vitatu vya awali na viambishi viwili vya tamati.

From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025, Code 010 (Set 13) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno

43. Chagua neno lenye viambishi vitatu vya awali na viambishi viwili vya tamati.

  1. AAliimba
  2. BAnakimbia
  3. CAmenikimbilia
  4. DWanafanya

Answer

C. Amenikimbilia

A-me-ni-kimbi-li-a: viambishi vya awali ni a-, -me- na -ni-, na vya tamati ni -li- (kauli ya kutendea) na -a. Maneno mengine yana viambishi viwili vya awali na kiishio -a pekee.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test