naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 44

Ni sentensi gani yenye kiwakilishi cha nafsi ya kwanza wingi?

From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025, Code 010 (Set 13) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viwakilishi

44. Ni sentensi gani yenye kiwakilishi cha nafsi ya kwanza wingi?

  1. AMimi ni mwanafunzi.
  2. BSisi ni wanafunzi.
  3. CWewe ni mwanafunzi.
  4. DYeye ni mwanafunzi.

Answer

B. Sisi ni wanafunzi.

Sisi ni nafsi ya kwanza wingi. Mimi ni nafsi ya kwanza umoja, wewe ya pili na yeye ya tatu.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test