CBC Grade 7 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 42
Nomino "ujinga" ni ya aina gani?
From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025, Code 010 (Set 13) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Nomino
42. Nomino "ujinga" ni ya aina gani?
- ANomino ya kawaida.
- BNomino ya dhahania.
- CNomino ya makundi.
- DNomino ya pekee.
Answer
B. Nomino ya dhahania.
Ujinga ni hali isiyoweza kuonekana wala kushikwa, kwa hiyo ni nomino ya dhahania.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua neno lenye viambishi vitatu vya awali na viambishi viwili vya tamati.Question 43
- Ni sentensi gani yenye kiwakilishi cha nafsi ya kwanza wingi?Question 44
- Neno "walisomeana" katika sentensi "Watoto walisomeana kwa bidii" limeundwa katika kauli gani?Question 45
- Tumia kirejeshi kinachofaa katika sentensi: "Mwalimu __ anafundisha vizuri ni mzee."Question 46
- Ni jibu lipi linaloonyesha umoja na wingi wa "ndizi" katika ngeli ya N-N?Question 47
- Chagua sentensi yenye alama ya mshangao iliyotumika ipasavyo.Question 48