CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 9
(b) Eleza sifa tatu za wimbo wa aina hii. (Alama 3)
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 13) · 3 marks · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi
Soma wimbo ufuatao kisha ujibu maswali yanayofuata:
Lala mtoto lala ×2
Mama anakuja lala. Akupe maziwa lala.
Lala mtoto lala ×2
Baba anakuja lala. Akupenda toto lala.
Lala mtoto lala ×2
Babu anakuja lala. Akupe peremende lala.
(b) Eleza sifa tatu za wimbo wa aina hii. (Alama 3)
Answer
Una marudio mengi (“Lala mtoto lala”); ni mfupi na rahisi kukariri; huimbwa kwa sauti ya chini na ya upole; hutoa ahadi za kumtuliza mtoto.
Bembelezi hurudiarudia maneno ili kumtuliza mtoto, huimbwa polepole kwa sauti nyororo, ni mfupi, na humwahidi mtoto vitu vizuri ili anyamaze na alale.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- (c) Andika wahusika wawili kwenye wimbo huu. (Alama 2)Question 10
- (d) Eleza ahadi mbili ambazo zimeahidiwa katika wimbo huu. (Alama 2)Question 11
- (e) Tambua watu wawili ambao wanaweza kuimba wimbo huu. (Alama 2)Question 12
- ZOEZI 4: NOVELA (Alama 10) (a) Taja wahusika wawili katika sehemu hii ya novela. (Alama 2)Question 13
- (b) Jadili aina mbili za maudhui yaliyoangaziwa katika sehemu hii ya novela. (Alama 4)Question 14
- (c) Eleza sifa mbili za Zawadi kama zinavyojitokeza katika kifungu hiki cha novela. (Alama 2)Question 15