CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 11
(d) Eleza ahadi mbili ambazo zimeahidiwa katika wimbo huu. (Alama 2)
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 13) · 2 marks · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi
Soma wimbo ufuatao kisha ujibu maswali yanayofuata:
Lala mtoto lala ×2
Mama anakuja lala. Akupe maziwa lala.
Lala mtoto lala ×2
Baba anakuja lala. Akupenda toto lala.
Lala mtoto lala ×2
Babu anakuja lala. Akupe peremende lala.
(d) Eleza ahadi mbili ambazo zimeahidiwa katika wimbo huu. (Alama 2)
Answer
Mama atampa mtoto maziwa; babu atampa mtoto peremende.
Mtoto anaahidiwa kuwa mama atampa maziwa na babu atampa peremende ikiwa atalala. Baba anakuja “akupenda”, yaani ampende.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- (e) Tambua watu wawili ambao wanaweza kuimba wimbo huu. (Alama 2)Question 12
- ZOEZI 4: NOVELA (Alama 10) (a) Taja wahusika wawili katika sehemu hii ya novela. (Alama 2)Question 13
- (b) Jadili aina mbili za maudhui yaliyoangaziwa katika sehemu hii ya novela. (Alama 4)Question 14
- (c) Eleza sifa mbili za Zawadi kama zinavyojitokeza katika kifungu hiki cha novela. (Alama 2)Question 15
- (d) Kwa kutoa sababu, taja hisia zozote mbili ambazo msomaji anaweza kuwa nazo baada ya kusoma sehemu hii ya novela.…Question 16
- Jibu maswali YOTE katika sehemu hii. SEHEMU YA A: KUANDIKA (Alama 15) Andika kisa cha kuvutia sana kitakachoanza kwa…Question 1