CBC Grade 7 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 8
ZOEZI 3: WIMBO (Alama 10) (a) Wimbo huu ni wa aina gani? (Alama 1)
From Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Set 13) · 1 mark · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi
Soma wimbo ufuatao kisha ujibu maswali yanayofuata:
Lala mtoto lala ×2
Mama anakuja lala. Akupe maziwa lala.
Lala mtoto lala ×2
Baba anakuja lala. Akupenda toto lala.
Lala mtoto lala ×2
Babu anakuja lala. Akupe peremende lala.
ZOEZI 3: WIMBO (Alama 10)
(a) Wimbo huu ni wa aina gani? (Alama 1)
Answer
Bembelezi (wimbo wa kubembeleza mtoto)
Ni bembelezi: wimbo wa kumtuliza mtoto ili alale (“Lala mtoto lala”).
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- (b) Eleza sifa tatu za wimbo wa aina hii. (Alama 3)Question 9
- (c) Andika wahusika wawili kwenye wimbo huu. (Alama 2)Question 10
- (d) Eleza ahadi mbili ambazo zimeahidiwa katika wimbo huu. (Alama 2)Question 11
- (e) Tambua watu wawili ambao wanaweza kuimba wimbo huu. (Alama 2)Question 12
- ZOEZI 4: NOVELA (Alama 10) (a) Taja wahusika wawili katika sehemu hii ya novela. (Alama 2)Question 13
- (b) Jadili aina mbili za maudhui yaliyoangaziwa katika sehemu hii ya novela. (Alama 4)Question 14