CBC Grade 7 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 5
d) Toa methali nyingine yenye maana sawa na hii. (2 Alama)
From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025, Code 010 (Set 13) · 2 marks · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi
Soma methali ifuatayo kisha ujibu maswali:
“Samaki mkunje angali mbichi, akikomaa huvunjika.”
d) Toa methali nyingine yenye maana sawa na hii. (2 Alama)
Answer
Udongo uwahi ungali maji.
Udongo hufinyangwa ukiwa bado na maji; ukikauka hauwezi kufinyangwa. Vivyo hivyo mtoto hufunzwa akiwa bado mdogo.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- e) Bainisha kipengele kimoja cha sanaa ya usemi kilichomo katika methali hii. (2 Alama)Question 6
- SEHEMU B (Alama: 25) ZOEZI III: NOVELA (Alama: 15) a) Eleza dhamira kuu ya dondoo hili. (2 Alama)Question 7
- b) Taja aina tatu za mandhari zilizojitokeza katika dondoo hili. (3 Alama)Question 8
- c) Eleza uhusiano kati ya Asha na mama yake kama unavyoonekana. (3 Alama)Question 9
- d) Taja changamoto mbili alizokumbana nazo Asha. (2 Alama)Question 10
- e) Bainisha mbinu mbili za lugha zilizotumika. (2 Alama)Question 11