CBC Grade 7 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 11
e) Bainisha mbinu mbili za lugha zilizotumika. (2 Alama)
From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025, Code 010 (Set 13) · 2 marks · Topic: Kusoma, Novela
Soma dondoo ifuatayo kisha ujibu maswali:
“Asha alitembea kwa haraka kupitia vichochoro vya kijiji, moyo wake ukidunda kwa wasiwasi. Alikuwa amechelewa kurudi nyumbani baada ya mkutano wa vijana. Akipita karibu na soko lililokuwa tupu, aliona kivuli kikubwa kikisogea polepole. Alihisi hofu, lakini ghafla akatambua ni mama yake aliyemsubiri. Mama hakusema neno, alimkumbatia tu kwa upendo. Asha alielewa kuwa hakuwa peke yake kamwe.”
e) Bainisha mbinu mbili za lugha zilizotumika. (2 Alama)
Answer
Taswira: "kivuli kikubwa kikisogea polepole". Taharuki: msomaji hajui kivuli ni cha nani hadi Asha anapotambua ni mama yake.
Mwandishi anajenga picha akilini (taswira) na kumweka msomaji katika hali ya kutaka kujua kitakachotokea (taharuki).
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- f) Kwa maoni yako, ni funzo gani kijana yeyote anaweza kujifunza kutokana na dondoo hili? (3 Alama)Question 12
- ZOEZI IV: USHAIRI (Alama: 10) a) Ni ujumbe upi mkuu mshairi anasisitiza? (2 Alama)Question 13
- b) Eleza maana ya msemo “Elimu ni mwanga” kama ulivyotumika. (2 Alama)Question 14
- c) Taja mbinu mbili za lugha zilizotumika katika shairi hili. (2 Alama)Question 15
- d) Andika kichwa kinachofaa zaidi kwa shairi hili. (1 Alama)Question 16
- e) Shairi hili ni la aina gani? (1 Alama)Question 17