naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili School Based Assessment 2025 · Question 4

c) Taja kazi mbili za methali katika jamii. (2 Alama)

From Kiswahili — KJSEA Assessment 2025, Code 010 (Set 13) · 2 marks · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi

Soma methali ifuatayo kisha ujibu maswali:

“Samaki mkunje angali mbichi, akikomaa huvunjika.”

c) Taja kazi mbili za methali katika jamii. (2 Alama)

Answer

Methali hufunza maadili na tabia njema, na hutumika kuonya au kushauri.

Methali hutumika kufunza, kuonya, kushauri, kuhifadhi hekima ya jamii, kupamba lugha na kuburudisha.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test