CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 2
MASWALI a) Taja mtindo miwili wa uwasilishaji wa wimbo huu. (Alama 2)
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2026 (Set 1) · 2 marks · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi
SEHEMU B: FASIHI SIMULIZI (Alama 13)
Soma wimbo ufuatao kisha ujibu maswali yanayofuata.
WIMBO
Nukia sauti x2
Sauti ya mwalimu,
Saa ni saa sita,
Kwaheri mwalimu,
Rafiki kwaheri x2
Naskia sauti x2
Sauti ya baba,
Saa ni saa sita,
Kwaheri mwalimu,
Watoto kwaheri x2
MASWALI
a) Taja mtindo miwili wa uwasilishaji wa wimbo huu. (Alama 2)
Answer
Kurudiarudia maneno na mistari (x2), na kupokezana kati ya mwimbaji na wenzake.
Angalia jinsi wimbo unavyoimbwa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- b) Bainisha aina mbili za mandhari zilizojitokeza kwenye wimbo huu. (Alama 2)Question 3
- c) Eleza kazi mbili za nyimbo kama huu. (Alama 2)Question 4
- d) Taja mbinu moja ya lugha iliyotumika katika wimbo huu. (Alama 1)Question 5
- e) Unadhani wanaoimba wimbo huu ni wa dini gani? Toa sababu. (Alama 2)Question 6
- f) Taja mhusika mmoja aliyeonekana katika wimbo huu. (Alama 1)Question 7
- MASWALI a) Eleza dhamira kuu ya sehemu hii ya novela.(Alama 2)Question 8