CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 1
SEHEMU A: INSHA (Alama 15) ZOEZI I Inapendekezwa utumie dakika 40 katika zoezi hili. Andika insha yenye maneno yasiyopungua 300 na yasiyozidi 350. Mada:…
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2026 (Set 1) · 15 marks · Topic: Kuandika, Insha
SEHEMU A: INSHA (Alama 15)
ZOEZI I
Inapendekezwa utumie dakika 40 katika zoezi hili.
Andika insha yenye maneno yasiyopungua 300 na yasiyozidi 350.
Mada:
UMUHIMU WA KUZINGATIA MAADILI YA VIJANA
Answer
UMUHIMU WA KUZINGATIA MAADILI YA VIJANA Maadili ni miongoni mwa misingi muhimu ya maisha ya kijamii. Kwa vijana, maadili mema ni nguzo ya kuongoza maisha kwa ufanisi na kuwa raia wema. Kuzingatia maadili kunasaidia kujenga tabia njema, kuheshimu wengine, na kufanya maamuzi sahihi. Katika jamii ya kisasa, teknolojia na mitandao ya kijamii imeongeza fursa za mawasiliano na kujifunza, lakini pia imechangia kuporomoka kwa maadili. Vijana wengi hufuata mitindo na tamaduni zisizo zao bila kuchuja. Hii hupelekea kupoteza heshima kwa wazee, kuongezeka kwa migongano ya kijamii, na kudhoofika kwa…
Andika kichwa, utangulizi unaoeleza maana ya maadili, aya zinazoeleza umuhimu wake kwa vijana (pamoja na changamoto na njia za kuyadumisha), na hitimisho. Tumia lugha fasaha.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- MASWALI a) Taja mtindo miwili wa uwasilishaji wa wimbo huu. (Alama 2)Question 2
- b) Bainisha aina mbili za mandhari zilizojitokeza kwenye wimbo huu. (Alama 2)Question 3
- c) Eleza kazi mbili za nyimbo kama huu. (Alama 2)Question 4
- d) Taja mbinu moja ya lugha iliyotumika katika wimbo huu. (Alama 1)Question 5
- e) Unadhani wanaoimba wimbo huu ni wa dini gani? Toa sababu. (Alama 2)Question 6
- f) Taja mhusika mmoja aliyeonekana katika wimbo huu. (Alama 1)Question 7