CBC Grade 7 Kiswahili Exam Term 1 2026 · Question 5
d) Taja mbinu moja ya lugha iliyotumika katika wimbo huu. (Alama 1)
From Kiswahili — Term 1 Assessment 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Kusoma, Fasihi Simulizi
SEHEMU B: FASIHI SIMULIZI (Alama 13)
Soma wimbo ufuatao kisha ujibu maswali yanayofuata.
WIMBO
Nukia sauti x2
Sauti ya mwalimu,
Saa ni saa sita,
Kwaheri mwalimu,
Rafiki kwaheri x2
Naskia sauti x2
Sauti ya baba,
Saa ni saa sita,
Kwaheri mwalimu,
Watoto kwaheri x2
d) Taja mbinu moja ya lugha iliyotumika katika wimbo huu. (Alama 1)
Answer
Takriri (urudiaji).
Maneno yanarudiwa (x2).
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- e) Unadhani wanaoimba wimbo huu ni wa dini gani? Toa sababu. (Alama 2)Question 6
- f) Taja mhusika mmoja aliyeonekana katika wimbo huu. (Alama 1)Question 7
- MASWALI a) Eleza dhamira kuu ya sehemu hii ya novela.(Alama 2)Question 8
- b) Taja aina tatu za mandhari zilizojitokeza katika sehemu hii ya novela.(Alama 3)Question 9
- c) Eleza hulka ya baba yake Chale.(Alama 3)Question 10
- d) Bainisha somo moja linalojitokeza katika kifungu hiki.(Alama 1)Question 11