CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 19
Ni siku gani ambayo wanafunzi wa shule ya Juhudi hushiriki katika idadi ndogo zaidi ya klabu?
From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma Jedwali
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 18 hadi la 20.
Wanafunzi wa shule ya msingi ya Juhudi hushiriki katika shughuli mbalimbali za klabu kulingana na ratiba ifuatayo:
| Klabu | Jumatatu | Jumanne | Jumatano | Alhamisi | Ijumaa |
|---|---|---|---|---|---|
| Upishi | ✓ | ✓ | |||
| Uigizaji | ✓ | ✓ | |||
| Skauti | ✓ | ||||
| Anwani | ✓ | ✓ | |||
| Ufumaji | ✓ | ✓ | |||
| Ziada | ✓ | ✓ | |||
| Mpira | ✓ | ✓ |
19. Ni siku gani ambayo wanafunzi wa shule ya Juhudi hushiriki katika idadi ndogo zaidi ya klabu?
- AJumatatu
- BJumanne
- CJumatano
- DAlhamisi
Answer
C. Jumatano
Jumatatu, Jumanne na Jumatano kila moja ina klabu mbili tu.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu linaloonyesha klabu ambayo wanafunzi hushiriki siku ya Jumatano pekee.Question 20
- Chagua jibu lenye kauli sahihi kujaza nafasi ya 21 katika kifungu.Question 21
- Chagua maneno yanayoonyesha kuwa Zawadi aliweza kukamilisha kauli ya Tunda wakati wa mazungumzo.Question 22
- Ni yepi kati ya maneno yafuatayo yanayoonyesha kuwa wahusika walikuwa na urafiki?Question 23
- Chagua neno ambalo Tunda angetumia katika nafasi ya 24 kwenye mazungumzo.Question 24
- Ni ishara gani ambayo Zawadi alistahili kutumia alipomuaga Tunda?Question 25