naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 18

Chagua jibu linaloonyesha klabu ambazo wanafunzi hukutana mara mbili pekee kwa juma.

From Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma Jedwali

Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 18 hadi la 20.
Wanafunzi wa shule ya msingi ya Juhudi hushiriki katika shughuli mbalimbali za klabu kulingana na ratiba ifuatayo:

KlabuJumatatuJumanneJumatanoAlhamisiIjumaa
Upishi✓✓
Uigizaji✓✓
Skauti✓
Anwani✓✓
Ufumaji✓✓
Ziada✓✓
Mpira✓✓

18. Chagua jibu linaloonyesha klabu ambazo wanafunzi hukutana mara mbili pekee kwa juma.

  1. AUpishi, Skauti, Uigizaji
  2. BZiada, Mpira, Skauti
  3. CUigizaji, Anwani, Skauti
  4. DUpishi, Ziada, Uigizaji

Answer

D. Upishi, Ziada, Uigizaji

Skauti hukutana mara moja tu; Upishi, Ziada na Uigizaji mara mbili.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test